Nahitaji ushauri kuhusu Mkopo wa kujenga nyumba

Fanya vitu vyako wewe, wakati ni sasa. Usisubiri partner, kama unaweza fanya sasa go ahead.
Jiwekee malengo, ukifika 30 una nyumba yako, una dream car yako na viwanja kama 2.
 
prado kama mshahara ni 500k sikushauri uchukue mkopo kwa ajili ujenzi tena ths 50 ml ni nyingi sana kama payback period ikawa 5 years manake una miezi 60 ya kulipa 50 ml ukiplus na riba yaweza fika 60m, hivyo kila mwezi utatakiwa kulipa milioni moja kitu ambacho sioni kama unaweza kwa mri huo nashauri usubiri upate mwenzio ambaye naweza kuwa mimi tukasadiana.
 
Last edited by a moderator:

https://jamii.app/JFUserGuide you
 
Last edited by a moderator:
Kupata mkopo wa kujenga nyumba si rahisi kama mkopo wa kukununua nyumba. unapoamua kujenga nyumba yako mwenyewe kwa mkopo kutoka kwenye taasisi za kifedha kuna mambo inabidi uzingatie,

1.Tafuta mkopo wa ujenzi wa nyumba na sio mkopo wa kawaida wa nyumba. Mkopo huu wa nyumba ni wa muda mfupi mara nyingi miaka 3 tofauti na mikopo ya nyumba ambao hufika mpaka miaka 15.
2.Kuwa na kiwanja, kama hauna kiwanja jumulisha gharama za kiwanja kwenye mkopo. Itasaidia kama utakuwa umelipia angalau nusu ya gharama za kiwanja.
3.Jiandae kuanza msingi /ujenzi wa awali. Hii itarahisisha kupata mkopo.
4.Andaa malipo ya awali, kiwango cha chini ni 20% - 30% ya gharama za ujenzi.
5.Fanya kazi na mjenzi anayetambuliwa na serikali.

Soma makala kamili kwa lugha ya kiingereza, bofya DarProperty >> Read Article
 
Hapa Kidogo Napata Shida Kwenye Kiwango Alichosema Kuwa Ndiyo Kaajiriwa Halafu Akope Milioni 50 Hivi Kwa Huo Mshahara Wa Laki Tano Na Kanuni Zinasema Unatakiwa Unapokopa Kwenye
Mshahara Ubaki Na 1/3

Kwaajili Ya Kujikimu Kila Mwezi
Halafu Ujenzi Huwa Unatakiwa Kuwa Makini Maana Pesa Itatoka Tu
 
Unaona Sasa.Hapo Juu umeandika Jinsia "KE" ndo maana amekuita hivyo.Pole sana ila mara nyingine soma ulichokiandika kabla ya kukituma.
Na wewe umekurupuka!! Aliyeandika "KE" ni huyo mleta mada lakini wewe umemjibu mchangiaji!!
 

Kama unataka kiwanja ninacho kipo maeneo ya Kibada - Kigamboni. Kina Square Meter 400. Bei ni 17M. Hati kwa jina langu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…