barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
prado kama mshahara ni 500k sikushauri uchukue mkopo kwa ajili ujenzi tena ths 50 ml ni nyingi sana kama payback period ikawa 5 years manake una miezi 60 ya kulipa 50 ml ukiplus na riba yaweza fika 60m, hivyo kila mwezi utatakiwa kulipa milioni moja kitu ambacho sioni kama unaweza kwa mri huo nashauri usubiri upate mwenzio ambaye naweza kuwa mimi tukasadiana.
Aisee......
Na wewe umekurupuka!! Aliyeandika "KE" ni huyo mleta mada lakini wewe umemjibu mchangiaji!!Unaona Sasa.Hapo Juu umeandika Jinsia "KE" ndo maana amekuita hivyo.Pole sana ila mara nyingine soma ulichokiandika kabla ya kukituma.
Habari wanaJF, nawapenda, nawakubali sana.
Najua humu kuna watu wa aina tofauti,na wamebarikiwa kitofauti, so every one's view is special and important to me!
Me ni jinsia ya 'KE' umri 24+ mwajiriwa serikalini, mshahara not less than mia5 Tshs, sina familia, bado naishi kwetu. Nataka nichukue mkopo wa kujenga nyumba itakayogharimu 50mil (kuna Uzi nimeona humu JF nikahamasika).
Kwa wale wenye uzoefu na masuala ya mikopo pamoja na makato sababu sina uzoefu na ndio kwanza nimeajiriwa,utaratibu ukoje?!
Halafu am not married nor engaged, is it a wise decision to make my own property au nisubiri nipate life partner ili tushirikiane vizuri katika suala la maendeleo?
Thanks.