jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fanya biashara ya chakula wali ugali au chips itakulipa san mtaj tena 'n mkubwa na pesa ya akiba inabaki
We jamaa biashara ya Mobile Money transfer umeshawahi kuifanya kweli wewe? Hiyo commission unavo zipangilia utamuingiza mtu chakaNakushauri nikiwa mzoefu sana na biashara ya duka za rejareja ninalo duka zuri tu la rejareja ,. Hii hela 1.2M itakuzingua ukizingatia huna uzoefu wa kutosha na huna janja janja nyingi na pia bado una ujana nikushauri . Anza na tigo pesa , m.pesa airtel moneney , lain utapata kwa 300000 tu hata pungufu ya hapo , kodi, kifremu tafuta sehemu inaduka za kawaida alafu hakuna huduma za tigopesa ,. Fremu isizidi 50000 kwa mwezi ,.
150000,. Jitafutie kiti na kimeza nyumbani huko anza biashara ,. Mwezi wa kwanza utapata kama laki na 50,
Kaza iache kwenye biashara mwezi wa pili unaweza kufika 200000 , hii tumia kununua friji used ,. Alafu punguza 50000 kwenye mtaji wa tigopesa nunua maji na vinywaji,
Mwezi unaofuata unaweza kupata 250000 . Toa 150000 kodi 50000 ongezea vinywaji 50000 + Mtaji wa tigo pesa , mwezi unaofuata utapata 300000, kausha tumia kwenye mtaji wa tigo pesa , mwezi unaofuata utapata 350000. Jumla utakuwa na 650000/ ukichanganya na mwezi uliopita 150000 nunua mizani, 500000 hii nunua unga sembe kg 25, sukari kg 25, dona kg 25, ngano kg 25, michele aina 3 kg 25 ,25, maharage njano kg 15, soya ,kg 15, miswaki still waya na vitu vingine vichache , usikurupuke kuongeza chochote hata kama utaone hela inabaki wakati wa kufungasha baada ya kutumia laki tano yote kununua vitu ndani ya huo mwezi wa kwanza , mwisho wa mwezi funga stock, ujue uliingiza sh .ngapi chukua ile faida + faida ya tigo pesa . 400000 , kafungashe vituambavyo vinauliziwa ambavyo hukuchukua mwezi uliopita, utaenda hivyo .
Mpaka mwaka ukiisha tu na miezi miwili utakuwa vizuri sana
Ni mzoefu wa kutosha tu , unaweza kuchagua sehemu pembezoni isiyonahuduma na ukizoeleka inapanda hivyo kadiri pia ya ukuaji wa mtajiWe jamaa biashara ya Mobile Money transfer umeshawahi kuifanya kweli wewe? Hiyo commission unavo zipangilia utamuingiza mtu chaka
Biashara ya miamala inategemea san location nzuri yenye mzunguko wa watu yaan kuwe na frequent transaction ukiwa na mzunguko mdogo hizo commission huwez kupata maana ww una muaminisha mtu kua kila mwezi graph inapanda wakati uhalisia n tofauti ingia field utakuta mambo n tofauti kabsa
Wazo zuri hiliNakushauri nikiwa mzoefu sana na biashara ya duka za rejareja ninalo duka zuri tu la rejareja ,. Hii hela 1.2M itakuzingua ukizingatia huna uzoefu wa kutosha na huna janja janja nyingi na pia bado una ujana nikushauri . Anza na tigo pesa , m.pesa airtel moneney , lain utapata kwa 300000 tu hata pungufu ya hapo , kodi, kifremu tafuta sehemu inaduka za kawaida alafu hakuna huduma za tigopesa ,. Fremu isizidi 50000 kwa mwezi ,.