Nahitaji ushauri wa kisheria?

Nahitaji ushauri wa kisheria?

Ni kweli. Ila Baada ya kufungua mirathi na kuwaandikisha watoto wangu kama warithi nimekua adui wamenifungulia kesi kwann siku waandika kama warithi?
Mmh,
Mkuu kadri unavoendelea kujibu nahisi kama unachanganya mafaili. How comes wakufungulie kesi
 
Kama huko Mahakamani kesi yako inafanyiwa figisu,nenda kwa Msajili umueleze uwone nae atakupa ushauri gani! Angalizo hakiksha huyo Msajili nae asije tu akawa tayari wamesha muwona kwa mlango wa nyuma hao Mashemeji zako!!
Nasubiri hukuma ikitoka nifanye hatuja inayofata kama ni kukata rufaa au kutekeleza hukumu itakayo toka bila pingamizi
 
Mmh,
Mkuu kadri unavoendelea kujibu nahisi kama unachanganya mafaili. How comes wakufungulie kesi
Wameweka pingamizi kwa hukumu iliokua imeshatoka ya Mirathi kwamba mm ni msimamizi wa mirathi. Tumesikiza pingamizi lao Tunasuburi
Hukumu kama pingamizi linasimama au hukumu ya awali itekelezwe.
 
Wameweka pingamizi kwa hukumu iliokua imeshatoka ya Mirathi kwamba mm ni msimamizi wa mirathi. Tumesikiza pingamizi lao Tunasuburi
Hukumu kama pingamizi linasimama au hukumu ya awali itekelezwe.
Kwani Mali zilikua za marehemu au zilikua zako wewe ? Kuna kitu nataka ninifunze hapa
 
Wameweka pingamizi kwa hukumu iliokua imeshatoka ya Mirathi kwamba mm ni msimamizi wa mirathi. Tumesikiza pingamizi lao Tunasuburi
Hukumu kama pingamizi linasimama au hukumu ya awali itekelezwe.
Toka waambiwe hukumu inatoka wamekuwa na dharura nyingi kama si wao ni hakimu .....
 
Mali nilinunua nikamuandikisha Mke wang kwa sababu mm sio MTz na Sheria hairuhusu ni miliki
Vielelezo vipo manake kila Transaction nikifanya nilikua silipi kwa Cash ila nafanya TT kutoka nchi husika kuja kwa muuzaji bank TZ
 
Mali nilinunua nikamuandikisha Mke wang kwa sababu mm sio MTz na Sheria hairuhusu ni miliki
Ok fine. Na sasa unataraji kuondoka tz or ?

Je watoto unawaacha au unaenda nao.

Kama huondoki tz je Una mpango wa kuoa tena na mke ukaishi nae hapo hapo nyumban kwako ?

Nafikili wasiwasi wa shemej zako umeegemea maeneo fulanifulani
 
Amani ilikuwepo tena ya kutosha. Tatizo limeanza baada ya kufungua mirathi na kuandika watoto kama wanufaika ndio matatizo yalipo anzia
Huu ndio uzi wenyewe, huo mwingine sijakuelewa, ujazie nyama.
 
Katisha hayo matumizi yote ya msingi yanayotoka kwako,na utaona mmoja mmoja anaondoka kwenda kujitafutia hayo matumizi ya msingi kwingine! Yaani kitaalam hiyo tunaita "Vikwazo vya kiuuchumi"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ok fine. Na sasa unataraji kuondoka tz or ?

Je watoto unawaacha au unaenda nao.

Kama huondoki tz je Una mpango wa kuoa tena na mke ukaishi nae hapo hapo nyumban kwako ?

Nafikili wasiwasi wa shemej zako umeegemea maeneo fulanifulani
Hahahahaha niliamua sitaowa tena. Acha nilee watoto.nipo na biashara zangu hapa TZ . Kikubwa nikutekeleza mirathi na kuwaandikisha watoto nyumba zote, kupanigisha chini ya kampuni na hela ziende kwa account za watoto au nyumba ziuzwe mgawanyo kwa watoto. Nikiona balaa Bado lipo unahama nchi.
 
Nasubiri hukuma ikitoka nifanye hatuja inayofata kama ni kukata rufaa au kutekeleza hukumu itakayo toka bila pingamizi
Usijali utashinda,haki iko upande wako,swala la kua wwe mgeni hapa Tanzania lisikupe shida as long wwe ni Mu Africa na Tanzania ni Africa pia!!
 
Usijali utashinda,haki iko upande wako,swala la kua wwe mgeni hapa Tanzania lisikupe shida as long wwe ni Mu Africa na Tanzania ni Africa pia!!
Inshallah haki itatendeka ....sasa hivi hakuna waolewaji .......kama unataka Kufa mapema kabla ya tarehe uliondikiwa na Allah na watoto wateseke kwa tamaa za kijinga siwezi jichanganya.
 
Back
Top Bottom