Nahitaji ushauri wa kisheria?

Nahitaji ushauri wa kisheria?

Mke wangu alifariki baada ya kilio masheji zangu wamekatalia kwangu hawataki kuondoka kuwatoa kwa nguvu naambiwa sheria inanibana.

Je, kisheria nahitajika kufanyaje waondoke?

Matumizi yote ya kimsingi yanayoka kwangu.
Kuna bwana mmoja alifanya kitu cha hovyo sana alipofiwa na mkewe ingawa baadae ilionekana kafanya kitu cha maana. Alimuoa mdogo wa marehemu mke wake, watu walipiga kelele sana lakini kuna vitu vikubwa viwili vilimpa credit sana;
1. Mali waliyochuma na mke wake ilibaki kuwa ndani ya walioitolea jasho (wakwe waliendelea kuwa wakwe, tofauti na angeoa mke mwingine wazazi wa marehemu biashara yao ingeishia hapo)
2. Watoto wa marehemu hawakutunzwa na mama wa kambo (mdogo wa mama yao aliyeolewa walimuona kama mama yao na alikuwa na upendo kwa watoto wa dada yake ambao ni damu yake pia)

NB; Sikushauri lakini kufuata hii njia.
 
Hata ivo wanao wana bahati kua na baba kama wewe.
Wengine wangewapeleka kwa bibi yao huko.
Watoto ndio familia nilioachiwa na Marehem Mke wang na Sina budi kuilea ipasavyo ........Dunia hakuna alie na uchungu au na mapenzi ya dhati kama Mzazi.
Kuna bwana mmoja alifanya kitu cha hovyo sana alipofiwa na mkewe ingawa baadae ilionekana kafanya kitu cha maana. Alimuoa mdogo wa marehemu mke wake, watu walipiga kelele sana lakini kuna vitu vikubwa viwili vilimpa credit sana;
1. Mali waliyochuma na mke wake ilibaki kuwa ndani ya walioitolea jasho (wakwe waliendelea kuwa wakwe, tofauti na angeoa mke mwingine wazazi wa marehemu biashara yao ingeishia hapo)
2. Watoto wa marehemu hawakutunzwa na mama wa kambo (mdogo wa mama yao aliyeolewa walimuona kama mama yao na alikuwa na upendo kwa watoto wa dada yake ambao ni damu yake pia)

NB; Sikushauri lakini kufuata hii njia.
Unaweza ukafanya hayo maamuzi kama watu unaopambana nao Wana Imani na hofu ya Mungu lakini apana.
 
Wakike .....Mie sio raia wa hapa Tz na Mkaazi haya nilimnununulia Mke wangu Sasa kiegezo ni kwamba hapa ni kwa Dada yao
Kwa sheria za Tanzania mgeni huruhusiwi kumiliki ardhi Cha muhimu wamilikishe wanao ila wakifika miaka 18 waukane uraia au omba uraia vinginevyo imekula kwako
 
Hahahahaha niliamua sitaowa tena. Acha nilee watoto.nipo na biashara zangu hapa TZ . Kikubwa nikutekeleza mirathi na kuwaandikisha watoto nyumba zote, kupanigisha chini ya kampuni na hela ziende kwa account za watoto au nyumba ziuzwe mgawanyo kwa watoto. Nikiona balaa Bado lipo unahama nchi.
Wewe ni raia wa nchi gan
 
Watoto ndio familia nilioachiwa na Marehem Mke wang na Sina budi kuilea ipasavyo ........Dunia hakuna alie na uchungu au na mapenzi ya dhati kama Mzazi.
Mlibahatika kupata watoto wangap na marehemu?
 
Uamuzi mwingine unahitaji kutumia busara sana; hao tayari ni ndugu zako ukiwa hapa nchini, unaweza pia kuwatumia ili kuweza kutimiza ndoto zako; chukua mmoja uwe unapelekea moto ila asizae; fungua biashara ya familia yeye awe anasimamia.

NB: Maisha yote ni ubatili, mali zote tutaziacha tutafute suluhu ya kuishi kwa amani tunapokuwa hapa duniani.
 
Waambie hutaki watu kwa sasa unaomba utulivu kwa muda hadi upunguze maumivu ya kupoteza mke yaakiisha watoto watarudi boarding wakiepo unaongeza maumivu zaidi waombe tu kistaarabu
 
Kote huku nimeshapita mambo mengi sitaki kusema mengi. Wamelisema hadharani kwamba watanikomesha na wamenikomesha kweli. Wameniwekea mpaka kesi ya madawa ya kulevya na kutrngeneza pesa bandia ila mungu Mkubwa. Sio watu kabisa
 
Uamuzi mwingine unahitaji kutumia busara sana; hao tayari ni ndugu zako ukiwa hapa nchini, unaweza pia kuwatumia ili kuweza kutimiza ndoto zako; chukua mmoja uwe unapelekea moto ila asizae; fungua biashara ya familia yeye awe anasimamia.

NB: Maisha yote ni ubatili, mali zote tutaziacha tutafute suluhu ya kuishi kwa amani tunapokuwa hapa dunii

meshapita mambo mengi sitaki kusema mengi. Wamelisema hadharani kwamba watanikomesha na wamenikomesha kweli. Wameniwekea mpaka kesi ya madawa ya kulevya na kutrngeneza pesa bandia ila mungu Mkubwa. Sio watu kabisa

Uamuzi mwingine unahitaji kutumia busara sana; hao tayari ni ndugu zako ukiwa hapa nchini, unaweza pia kuwatumia ili kuweza kutimiza ndoto zako; chukua mmoja uwe unapelekea moto ila asizae; fungua biashara ya familia yeye awe anasimamia.

NB: Maisha yote ni ubatili, mali zote tutaziacha tutafute suluhu ya kuishi kwa amani tunapokuwa hapa duniani.
Kwa kweli Apana nimeshapita mambo mengi sitaki kusema mengi. Wamelisema hadharani kwamba watanikomesha na wamenikomesha kweli. Wameniwekea mpaka kesi ya madawa ya kulevya na kutrngeneza pesa bandia ila mungu Mkubwa. Sio watu kabisa
 
Kote huku nimeshapita mambo mengi sitaki kusema mengi. Wamelisema hadharani kwamba watanikomesha na wamenikomesha kweli. Wameniwekea mpaka kesi ya madawa ya kulevya na kutrngeneza pesa bandia ila mungu Mkubwa. Sio watu kabisa
Waachie nyumba sepa sio lazima ukae mahala ambapo kuna wauaji
 
Kwa kweli Apana nimeshapita mambo mengi sitaki kusema mengi. Wamelisema hadharani kwamba watanikomesha na wamenikomesha kweli. Wameniwekea mpaka kesi ya madawa ya kulevya na kutrngeneza pesa bandia ila mungu Mkubwa. Sio watu kabisa
Kwa mazingira hayo hakuna namna, peleka watoto shule za bweni, uza nyumba na ukanunue kwingine.
 
Kote huku nimeshapita mambo mengi sitaki kusema mengi. Wamelisema hadharani kwamba watanikomesha na wamenikomesha kweli. Wameniwekea mpaka kesi ya madawa ya kulevya na kutrngeneza pesa bandia ila mungu Mkubwa. Sio watu kabisa
Alfu Bado unatoa wewe matumizi unaishi nao ndani aisee huo ujasiri unatoa wapi,, unaishi na majambazi ambayo mda wowote yanawez kutoa ROho, Yani hao hawafai hata kukaa hapo mda siyo mrefu watakua
Wabongo kwa Tamaa ya mali ni hatari hawana utu

Anyway Mungu akusaidie upate haki yako
Tahadhari nayokupa Kuwa makini utauawawa mapema
Kila la kheri
 
Uhai anao basi atajenga ingine au aiuze basi aende zake
Na akijenga hiyo nyingine watakuja kumnyanganya pia,Kama waliweza kumnyanganya Nyumba ya kwanza,watashindwa kumnyanganya Nyumba ya pili!!?? Akomae nao hawa hadi mwisho kwenye Vyombo vya Sheria! Kesi za Madai siku zina ukomo! Nazani ukomo kwa Sasa mashauri yasizidi Miaka miwili hata Kama Shaun hilo ni gumu kiasi gani!!!
 
Back
Top Bottom