Kwanza napenda kukupa hongera kwa kufanikiwa kuanza, maana 1st step is the hardest
Nenda famacy uwaonyeshe hio picha watakupa dawa, nadhani hio husababishwa na bacterias
Waweza wapatia mchanganyiko wa pilipili kichaaa & alovera kwa kukinga na kujega immunity yao(tiba asili) ama wapatie antibiotic na vitamin itasaidia
hongera umeanza vizuri..
Nime enda Pharmacy wameshauri niwape OTC+ ambayo nilishawapa tiyari hapo hawali ie katika siku za mwanzo za kuzaliwa kwao
Nimeanza kufuga kuku wa kienyeji pure. sasa nina vifaranga 20 ambao wana umri wa mwezi mmoja. Nawapa chakula cha starter (dukani). Mpaka sasa nimewapa chanjo za OTC+, Newcastle na Gumboro.
kati ya hao kuku kuna mmoja ana uvumbe chini ya jicho. nimechukua uamuzi wa kumtenga. naomba ushauri juu ya TIBA/ KINGA ya huu ugonwa.
Picha nimeambatanisha
Chanjo uliwapa kwa wakati? Chanjo zingine zinahifadhiwa vibaya famacy matokeo yake zinapoteza ubora, kuna dawa ya kuzuia magonjwa ya kurithi kutoka kwa mama mzazie je umewapa? Inaitwa ESB3