Nimeanza kufuga kuku wa kienyeji pure. sasa nina vifaranga 20 ambao wana umri wa mwezi mmoja. Nawapa chakula cha starter (dukani). Mpaka sasa nimewapa chanjo za OTC+, Newcastle na Gumboro.
kati ya hao kuku kuna mmoja ana uvumbe chini ya jicho. nimechukua uamuzi wa kumtenga. naomba ushauri juu ya TIBA/ KINGA ya huu ugonwa.
Picha nimeambatanisha
kati ya hao kuku kuna mmoja ana uvumbe chini ya jicho. nimechukua uamuzi wa kumtenga. naomba ushauri juu ya TIBA/ KINGA ya huu ugonwa.
Picha nimeambatanisha