Nahitaji ushauri wenu wa kibiashara

Nahitaji ushauri wenu wa kibiashara

iv maeneo ya ndan ndan dar hua inakua inakua niwap
 
nyingi tu mkuu.
mtaji ndo changamoto kuu
maskini we pole...kumbe ulikuwa na wazo tu lakini kamtaji kalikuwa bado hakajapatikana?

kwani bi dada ulitegemea uanze na mtaji wa kiasi gani? kwa mujibu wa business plan yako/mawazo yako
 
Back
Top Bottom