Nahitaji uvumilivu

Endelea tuu maana hata mkeo kuna shamba boy anamtizΓ ma kwa jicho hilo dah.
Ngoja mkutane huku kwenye magroup ya WhatsApp.
 
Siku zote matatizo tunayatafuta wenyewe, nakusihi usiwe na mahusiano ya mapenzi na mfanyakazi wako wa ndani usije kujuta baadae.
Pia kuhusu upwiru😁 tafuta mwanamke mwingine ila siyo beki3
 
Siku zote matatizo tunayatafuta wenyewe, nakusihi usiwe na mahusiano ya mapenzi na mfanyakazi wako wa ndani usije kujuta baadae.
Pia kuhusu upwiru😁 tafuta mwanamke mwingine ila siyo beki3
Nazingatia haya uliyosema asante
 
Kwa hapo ulipofikia we tomba tu

Wanaume tumeumbiwa lawama
 
Ta
Back tatu hapana mwanangu. Bora wale wa buku tano. Cha muhimu viatu muda wote viwe mguuni.
 
Maneno yako makali sana yanachoma
Sasa usipende kuchoma wenzako kwa maneno hayo hayo. Unadhani wanawake wanaosoma hiyo thread yako wanatuonaje sisi wanaume? Unasababisha tunadharaulika kwa ujinga wako wa kutamani house girl na kutaka kwenda kununua malaya. Kuwa na kifua kaa na kitu rohoni siyo kuropoka kila kitu.
 
Tafuta mchepuko au hata changudoa ila usisahau ulinzi shirikishi, ukimla huyo bekitatu ujue utaendelea na hatima yake mkeo atajua tu, laani huyo shetani anayekuonyesha kuwa huyo bekitatu ana macho mazuri.
 
sawa
 
Sawa
 
Punyyyyeeee ndiyo tiba Yako ya kuuza nguvu za UTI wa mgongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…