Nahitaji uvumilivu

Nahitaji uvumilivu

Nina changamoto mke wangu kaenda mkoa mwingine kaajiriwa nimebaki na beki tatu kuna muda upwiru unakaba sana halafu nikimwangalia huyu beki tatu ana jicho moja hivi dah Mungu anisaidie kwa kweli nisije vunja nae ile amri.Nauliza kuna mbinu yoyote ya kuondokana na upwiru ukiachana na ile ya kujichukulia sheria mkononi nikishindwa itabid nitafute wale wa kwenye magroup ya whatsapp
Endelea tuu maana hata mkeo kuna shamba boy anamtizàma kwa jicho hilo dah.
Ngoja mkutane huku kwenye magroup ya WhatsApp.
 
Siku zote matatizo tunayatafuta wenyewe, nakusihi usiwe na mahusiano ya mapenzi na mfanyakazi wako wa ndani usije kujuta baadae.
Pia kuhusu upwiru😁 tafuta mwanamke mwingine ila siyo beki3
 
Nazingatia haya uliyosema asante
 
Kwa hapo ulipofikia we tomba tu

Wanaume tumeumbiwa lawama
 
Nina changamoto mke wangu kaenda mkoa mwingine kaajiriwa nimebaki na beki tatu kuna muda upwiru unakaba sana halafu nikimwangalia huyu beki tatu ana jicho moja hivi dah Mungu anisaidie kwa kweli nisije vunja nae ile amri.Nauliza kuna mbinu yoyote ya kuondokana na upwiru ukiachana na ile ya kujichukulia sheria mkononi nikishindwa itabid nitafute wale wa kwenye magroup ya whatsapp
Ta

Back tatu hapana mwanangu. Bora wale wa buku tano. Cha muhimu viatu muda wote viwe mguuni.
 
Maneno yako makali sana yanachoma
Sasa usipende kuchoma wenzako kwa maneno hayo hayo. Unadhani wanawake wanaosoma hiyo thread yako wanatuonaje sisi wanaume? Unasababisha tunadharaulika kwa ujinga wako wa kutamani house girl na kutaka kwenda kununua malaya. Kuwa na kifua kaa na kitu rohoni siyo kuropoka kila kitu.
 
Nina changamoto mke wangu kaenda mkoa mwingine kaajiriwa nimebaki na beki tatu kuna muda upwiru unakaba sana halafu nikimwangalia huyu beki tatu ana jicho moja hivi dah Mungu anisaidie kwa kweli nisije vunja nae ile amri.Nauliza kuna mbinu yoyote ya kuondokana na upwiru ukiachana na ile ya kujichukulia sheria mkononi nikishindwa itabid nitafute wale wa kwenye magroup ya whatsapp
Tafuta mchepuko au hata changudoa ila usisahau ulinzi shirikishi, ukimla huyo bekitatu ujue utaendelea na hatima yake mkeo atajua tu, laani huyo shetani anayekuonyesha kuwa huyo bekitatu ana macho mazuri.
 
sawa
 
Sasa usipende kuchoma wenzako kwa maneno hayo hayo. Unadhani wanawake wanaosoma hiyo thread yako wanatuonaje sisi wanaume? Unasababisha tunadharaulika kwa ujinga wako wa kutamani house girl na kutaka kwenda kununua malaya. Kuwa na kifua kaa na kitu rohoni siyo kuropoka kila kitu.
Sawa
 
Nina changamoto mke wangu kaenda mkoa mwingine kaajiriwa nimebaki na beki tatu kuna muda upwiru unakaba sana halafu nikimwangalia huyu beki tatu ana jicho moja hivi dah Mungu anisaidie kwa kweli nisije vunja nae ile amri.Nauliza kuna mbinu yoyote ya kuondokana na upwiru ukiachana na ile ya kujichukulia sheria mkononi nikishindwa nitabid nitafute wale wa kwenye magroup ya whatsapp
Punyyyyeeee ndiyo tiba Yako ya kuuza nguvu za UTI wa mgongo
 
Back
Top Bottom