Nahitaji viduka vya Airtel au Portsman

Nahitaji viduka vya Airtel au Portsman

Joined
May 23, 2014
Posts
16
Reaction score
1
jamani nahitaj vile viduka vya airtel vilivyotoka sasaivi au vile vya portsman kwa anayejua vnapatikana wapi na bei yake ikoje tafadhali
 
nenda ofisi zao nenda airtel pale wao wanaweza kukusaidia ukavipata mkuu usisumbuke bure hapa
jamani nahitaj vile viduka vya airtel vilivyotoka sasaivi au vile vya portsman kwa anayejua vnapatikana wapi na bei yake ikoje tafadhali
 
Back
Top Bottom