Nahitaji vijana 6 tufanye biashara. Vijana wanne tushapatikana

Nahitaji vijana 6 tufanye biashara. Vijana wanne tushapatikana

Ushauri katika choice ya hao sita weka hata kina dada wawili..., hii itawaletea uniqueness (sio wengi kina dada wanafanya hili) pia katika marketing itapendeza zaidi....
Though disadvantage hii inaweza kuwa mwanzo wa kutokuelewana na backstabbing kwa members... (whenever opposite attracts inakuja na mengineyo)
Kuhusu kuingiza mapenzi na kazi waweke sheria kali hakuna mahusiano ya kimapenzi kati ya washirika wa biashara.
Watakao kiuka wataondolewa kundini na pesa yao watarudishiwa taratibu kwa awamu.
Lazima kuwe na katiba ya kikundi na iseme hivyo explicitly.

Lazima wasajili kampuni wawe na MOU.
 
Ni ngumu kuwapangia watu wazima wafanye au wasifanye nini hususan wasipokuwa kazini.., na kama ujuavyo mapenzi yanakuja yenyewe bila hodi hayafuati katiba inasema nini..., labda sasa waseme hawataki watu single (ambayo nayo ni kutenga baadhi ya watu) cha maana ni kuomba Mungu tu kupata watu wanaojielewa
 
Hayo ni mawasilisho ya wazo mkuu, mpango mzima ndio upo kwenye IDEA STAGE | tuakiaa pamoja ndio tutapanga yote hayo kama utaelewa mie sio muajiri napangaje mishahara ya watu.
Kitu muhimu kwenye idea au hatua yoyote ya biashara ni numbers. Hayo niliyotaja yote ndio hizo numbers. Ukikosea hapo hamna biashara.
 
Back
Top Bottom