Kuhusu kuingiza mapenzi na kazi waweke sheria kali hakuna mahusiano ya kimapenzi kati ya washirika wa biashara.Ushauri katika choice ya hao sita weka hata kina dada wawili..., hii itawaletea uniqueness (sio wengi kina dada wanafanya hili) pia katika marketing itapendeza zaidi....
Though disadvantage hii inaweza kuwa mwanzo wa kutokuelewana na backstabbing kwa members... (whenever opposite attracts inakuja na mengineyo)
Kuhusu kuingiza mapenzi na kazi waweke sheria kali hakuna mahusiano ya kimapenzi kati ya washirika wa biashara.
Watakao kiuka wataondolewa kundini na pesa yao watarudishiwa taratibu kwa awamu.
Lazima kuwe na katiba ya kikundi na iseme hivyo explicitly.
Lazima wasajili kampuni wawe na MOU.
Hiyo yote ni kupambana na hali zao mkuu...wala usishangae...Duu Tanzania.
Kitu muhimu kwenye idea au hatua yoyote ya biashara ni numbers. Hayo niliyotaja yote ndio hizo numbers. Ukikosea hapo hamna biashara.Hayo ni mawasilisho ya wazo mkuu, mpango mzima ndio upo kwenye IDEA STAGE | tuakiaa pamoja ndio tutapanga yote hayo kama utaelewa mie sio muajiri napangaje mishahara ya watu.