Habari wana jamii forum
Natumai mu wazima
Tafadhali naomba kuuliza mwenye chimbo la mifuko ya 20kg /25kg kama ya azania/azam ambayo inakua rejected lakini mizima ambayo haijatoboka inawezakua imekosewa kua printed au kiwandani baada ya kuimalizia shughuli
Mahitaji ni kuanzia 1000pcs -3000pcs
Offer yangu kwa mfuko 170-200 per piece