Nahitaji Viroba rejected/used

Nahitaji Viroba rejected/used

Winga dalali

Senior Member
Joined
Jul 20, 2021
Posts
196
Reaction score
265
Habari wana jamii forum
Natumai mu wazima
Tafadhali naomba kuuliza mwenye chimbo la mifuko ya 20kg /25kg kama ya azania/azam ambayo inakua rejected lakini mizima ambayo haijatoboka inawezakua imekosewa kua printed au kiwandani baada ya kuimalizia shughuli
Mahitaji ni kuanzia 1000pcs -3000pcs
Offer yangu kwa mfuko 170-200 per piece
 
Kama una shida na mifuko mingi hivo si bora uende kiwandani moja kwa moja ?
Lakn ,kuna watu huwa wanakua nayo au wana viwanda vya printing kuna ile inayokosewa kuwa printed mimi kwangu inafaa
 
Back
Top Bottom