Ndo maana nimeuliza mkuu. Maana niliuliza kama Azam wenyewe wanajitengenezea,sikupata jibu. Ila kwa kuwa ninaamini JF ni chimbo tosha, nikaona niwashirikishe wadau huenda nkapata ushauriKanunue AZAM VIPYA KWA NNI UTUMIE CHAKAVU WAKATI UNATAKA KUWEKEA CHAKULA MKUUU
Mi mwenyewe naitaji kama elfu 10
Ndo maana nimeuliza mkuu. Maana niliuliza kama Azam wenyewe wanajitengenezea,sikupata jibu. Ila kwa kuwa ninaamini JF ni chimbo tosha, nikaona niwashirikishe wadau huenda nkapata ushauri