Habari zenu, nahitaji Vitz Old Model inayotumia mtungi wa gas na mafuta, nipo Dar Es Salaam, mda wowote nakuja kuicheki gari, nipo serious kiasi kwamba hata leo leo tunaweza kumaliza biashara.
Gari: Vitz OLD MODEL (Inayotumia Gas na mafuta)
Namba ya usajili: Yoyote ile kikubwa engine na gearbox viwe vizima
Mawasiliano yangu: 0783 242247
Location: Dsm
Gari: Vitz OLD MODEL (Inayotumia Gas na mafuta)
Namba ya usajili: Yoyote ile kikubwa engine na gearbox viwe vizima
Mawasiliano yangu: 0783 242247
Location: Dsm