Yani elfu 2 vyote kwa pamoja au kwa piece moja??Haya kama kawaida ngoja ni assume Kila mwana jf yupo dar
Kuna duka sinza palestina pale wanauza vyombo kwa kilo, kilo Moja elf 5, unachagua vyombo vyako wanapima kwa mzani wanakuuzia kwa kilo
Na wanapiga pesa kweli, hivi vyombo ukiagiza china kilo Moja haiwezi kuzidi elf 2, speaking from experience
Kikundi cha kufa na kuzikana mahi? 😜Kwani kila kitu lazima ucomment? Au ndo bando lako!
Soma vizuri, Hio sehemu niliyokuagiza wanauza hivo vyombo vya udongo kilo sh 5000 ila wao wakiagiza china haizidi sh 2000 kwa Kila kiloYani elfu 2 vyote kwa pamoja au kwa piece moja??