Nahitaji vyombo kwa jumla

Nahitaji vyombo kwa jumla

MEGATRONE

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2014
Posts
1,140
Reaction score
2,141
Nahitaji vitu vifuatavyo.

Sahani za udongo 20

Sahani za mifupa 200

Vikombe vya mifupa 200

Vijiko vigumu 200

Vikombe vya udongo 20

Majaba makubwa 4

Pipa la maji (litres 200-240) 1

Ndoo ndogo 20

Ndoo za kunawia 10

Sufuria 20KG 6

Mawasiliano 0687391885
 
Nawish ningekua karibu unipe hio ela nikakununulie sokoni unipe ya soda tu
 
Haya kama kawaida ngoja ni assume Kila mwana jf yupo dar

Kuna duka sinza palestina pale wanauza vyombo kwa kilo, kilo Moja elf 5, unachagua vyombo vyako wanapima kwa mzani wanakuuzia kwa kilo

Na wanapiga pesa kweli, hivi vyombo ukiagiza china kilo Moja haiwezi kuzidi elf 2, speaking from experience
 
Yani elfu 2 vyote kwa pamoja au kwa piece moja??
 
Yani elfu 2 vyote kwa pamoja au kwa piece moja??
Soma vizuri, Hio sehemu niliyokuagiza wanauza hivo vyombo vya udongo kilo sh 5000 ila wao wakiagiza china haizidi sh 2000 kwa Kila kilo
 
Back
Top Bottom