Prof_Adventure_guide
JF-Expert Member
- Dec 21, 2023
- 533
- 1,499
Ndugu wana JF,
Nahitaji wakili aliyehitimu kisheria, mwenye leseni halali kutoka Tanganyika Law Society (TLS), na anayefanya kazi kwa weledi, maadili, na uaminifu wa hali ya juu.
Vigezo ninavyotafuta:
Awe na leseni hai (valid practicing certificate)
Awe na uzoefu wa kushughulika na kesi au mikataba ya kiraia (civil & tenancy matters)
Awe tayari kufanya kazi ya maana kwa karibu nami — si kwa kazi moja tu, bali kwa uhusiano wa muda mrefu wa professional collaboration
Nahitaji mtu makini, mwenye legal clarity, ethical grounding, na emotional intelligence. Kama unamfahamu au wewe mwenyewe unatimiza sifa hizi, tafadhali nicheki DM.
Ahsanteni kwa nafasi.