Kwa kifupi tuu sina uwezo wa kuwalipa walimu mshaharaa ila uwezo wangu tutakuwa tunalipana posho baada ya kupiga kazi hela inayopatikana tunagawana.Unafungua NGO lakini unataka watu wa kujitolea?
Maelezo yako hayashawishi,wapo watu wengi wasio na ajira ni kweli lakini waambie baada ya kujitolea mtaishia nao wapi na watapata nini,we unasema tu kujitolea ndo kitu gani.
Mi sio mwalimu ni technician wa umeme, Lakin if possible nipo availableNapatikana Kinondoni mjini Dar es Salaam.
Asante kwa taarifa na ushauli wako nitaufanyia kazi brooKama huna hela na unataka kufungua NGO hiyo NGO haitadumu. Ushauri ni kuwa changanya objectives nyingi kama 6 kwenye katiba yako udeal na mambo tofauti tofauti kama mazingira, magonjwa/ afya, uongozi bora, sheria na haki za binadamu n.k.
Hayo uliyoeleza hapo iwe tu part ya project. Na kama ndiyo project uliyoanza nayo hiyo basi jua umeanza na chaguo sio sahihi kwa NGO inayoanza utashindwa kwenye documentation wakati wa ku submit taarifa ya mwaka wizarani
Kama huna hela na unataka kufungua NGO hiyo NGO haitadumu. Ushauri ni kuwa changanya objectives nyingi kama 6 kwenye katiba yako udeal na mambo tofauti tofauti kama mazingira, magonjwa/ afya, uongozi bora, sheria na haki za binadamu n.k.
Hayo uliyoeleza hapo iwe tu part ya project. Na kama ndiyo project uliyoanza nayo hiyo basi jua umeanza na chaguo sio sahihi kwa NGO inayoanza utashindwa kwenye documentation wakati wa ku submit taarifa ya mwaka wizarani
Utawalipa posho kutoka chanzo gani au ndio ushapata sponsors then unataka kuwafuja watoto wa wenzako?Kwa kifupi tuu sina uwezo wa kuwalipa walimu mshaharaa ila uwezo wangu tutakuwa tunalipana posho baada ya kupiga kazi hela inayopatikana tunagawana.
Kwa kifupi tu ninahitaji watu wa kufanya nao kazi.
Hapana unafuata misingi ya sheria inavyotaka. Hapa inamaana kutoa msaada wa kisheria through reconciliation and counselling. Kuna baadhi ya migogoro inaweza kutatuliwa kabla ya kwenda mahakamani. Na utatuzi huu unaweza kufanywa na mtu wa mwenye elimu ya kawaida tu kama paralegal . Kuna mashirika kama Winlak, Tamwa, LHRC, Morogoro Paralegal, Temeke Paralegal hutoa huduma za msaada wa kisheria na haki za binadamu. Uendeshaji wa NGO ni shughuli na hizo ndizo moja ya shughuli ambazo unaweza kuzitoa bila hata shirika kuwa na fedha. Kama wanavyofanya baraza la kata au baraza la ardhi la kijiji.huko kwingine kote umemshauri vizuri,shida ipo hapo kwenye haki za binadamu,akisaidia kuelimisha kuhusiana na haki za binadamu kwa nchi hii atajikuta sio mtanzania na hiyo NGO itafungwa ndani ya muda mfupi sana