Nahitaji washauri na wataalamu juu ya drip irrigation

chavalla

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2017
Posts
451
Reaction score
354
Natumaini humu Kuna wataalamu na wasomi. Nimeamua kuwekeza ktika kilimo hasa Cha umwagiliaji. Hasa nahitaji washauri na wataalamu juu ya drip irrigetion gaharama zake na ufundi pamoja na vifaa kwa hekari moja. Nawakilisha hoja.
 
+255753662203 mtafute huyo jamaa angu anaitwa Mick Shija kama wewe ni mkaaji wa dar au moro...

Ana kampuni yake inaitwa TAST ( Tanzania agricultural services and training...

Goodluck Mkuu
 
Natumaini humu Kuna wataalamu na wasomi. Nimeamua kuwekeza ktika kilimo hasa Cha umwagiliaji. Hasa nahitaji washauri na wataalamu juu ya drip irrigetion gaharama zake na ufundi pamoja na vifaa kwa hekari moja. Nawakilisha hoja.
Gharama za drip irrigation hutegemea na mambo mbali mbali kama
1.Aina ya zao unalotaka kumwagilia
Mfano dripline za papai ni tofauti na zile za nyanya, hoho na mazao mengine ya mboga mboga kwa hyo Gharama pia hutofautiana
2. Shamba lilivyokaa (topography) na mapendekezo ya mteja
Drip irrigation kwenye shamba ambalo ni flat hutofautiana na shamba ambalo lina mwinuko au mteremko kwa sababu shamba la namna hii utahitaji kuligawa katika plot (head units) ndogo ndogo ili utokaji wa maji uwe sawa kwa kila mmea tofauti na shamba ambalo ni flat lisilo hitaji kugawanywa
Pia mteja anaweza kuamua kugawa shamba lake kwenye plots mfano wateja wengine wanaweza kuamua hekari moja igawanywe mara mbili na kila nusu hekari anaotesha zao tofaut so gharama hapa zitatofautiana
3. Materials zinazotumika
Katika drip irrigation zipo materials kutoka kampuni mbalimbali zenye specifications na ubora tofaut mfano tuongee issue ya wall thickness. Zipo drip zenye wall thickness ya 1mm, 0.6mm, 0.4mm(hizi ndio nyingi sokoni)., 0.2mm na pia zipo dripline za round, flat na nyingine ni pressure compensation na pia zipo za self flushing so Gharama pia zinategemea unatumia materials gani na kutoka kampuni gani mfano Netafim, captain, azud, toro, john Deere, irritec, green agriculture, sertan, vishaka, mertplus, irrist, approtech na nyingine nyingi

Kwa kumalizia kama mkulima unahitaji irrigation system angalia zaidi ubora wa kati na uchukue material ambazo unaweza kuzitumia angalau kwa miaka mitano ili uweze kurudisha Gharama Zako
Pia tafuta mfungaji mzuri ili system yako iweze kufanya kazi kwa tija nzuri
Pia hakikisha unawekeza pia kwenye usimamizi wa mradi wako ili uweze kupata faida kwani unaweza kuwekeza sana kwenye infrastructure na kusahau kuwa usimamizi na agronomia ni msingi. Mfano ukikosea kupiga dawa au kuweka mbolea utaishia kupata hasara na kulaumu drip irrigation [emoji3]

Kwa maelekezo haya karibu tukuhudimie sisi tunafanya design, installation pamoja na uuzaji wa vifaa vya irrigation tupo morogoro mjini na dsm mikocheni
0763347985 / 0673000103
Gharama zetu ni 2.5mil-3mil kulingana na factor nilizoeleza hapo juu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahsante Sana kwa ushauri wako mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom