Nahitaji watu 99 wenye uwezo wa kuweka laki moja kwa mwezi

Sawa mkuu. Ila challenge ndo huleta akili. Ukianguka unajua namna ya kutembea vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa uzoefu wangu, nimekuja kuamini kuwa biashara nzuri hujengwa na watu wawili tu. Kwamba hv, mtu mmoja hawezi lazima wawe wawili na hata kama kuna ulazima wa kuwa watatu, basi huyo wa tatu hana say, yupo yupo tu. Anza utafiti wa hiki nachokwambia leo, one day utakuja kunielewa na kunishukuru.
 
Sawa mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

huu ni ukweli mchungu... biashara mkiwa wengi mnabishana tu maamuzi
 
Ni wazo zuri sana kwa mtu anaeangalia mbali.
Hao watu mia ni wengi mno kwa kuanza mradi labda kama ungeufanya mradi huo sehemu moja ambapo utapata wote hao
Nina maana kama kijijini ambapo mnaweza kuanzisha miradi ya kilimo, na ufugaji na mbogamboga.

Lakini kumbuka humu tumo watu wengi na wengine nje ya nchi.





Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Una wazo nzuri lakini inategemea na uaminifu na usimamizi wa watu utakao pata na miradi utakayo fungua soko lake bila hivyo unaisaidia serikal kuongezea mapato maana hizo kodi tuu hela yenu itaishia huko
 
Wazo zuri ila watu ni wengi sana, anza na watu wachache kwanza.
 
Wazo zuli ndugu ukilianza mwakani na mimi nitakuwepo ndugu hata ukipata ishirini nitakuwepo humo, nina kundi nipo lina jumla ya watu 100 hadi sasahivi na ukisanyaji wa pesa unaenda vizuli tu miradi yao inaanza mwakani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si ukusanye ndugu zako 99 na wewe uwe wa mia mfanye hiyo miradi.... Kwa nini umekuja huku JF.? Ukikosa ndugu tafuta rafiki wa Primary au Olevel au Alevel au Chuo.... Ambao hao mtakuwa mnajuana vizuri tofauti na humu JF..... Mambo ya pesa siku hizi hakuna kuaminiana hata iwe elfu moja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakubaliana na wewe mkuu. Nipo na wanangu wawili kuna ishu tunaifanya. I'm telling you, tunasonga mbele bila vikwazo wala malumbano. Kila mmoja yupo committed.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…