Nahitaji watu 99 wenye uwezo wa kuweka laki moja kwa mwezi

Kupunguza mlolongo mrefu wakutafutana watu 99. Maoni yangu pandisha dau iwe laki 5. Mtengeneze vikundi vya watu 5 tu ni manageable kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ungesema miradi gani hiyo 10 na hata ungeandika mtitiriko wa kuleta returns ktk hiyo miradi ungeeleweka kwa watu.

Maana watu wengi siku hizi wanasema nikipata mtaji wa maana naanzisha mradi lakini ukimuuliza mradi utakunufaisha vipi hawezi kusema yaani hana business plan yeyote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazo zuri sana just weka namba ya WhatsApp watu wajiunge moja kwa moja
 
Ngoja Mawazo yazidi kuja tujione tutakuwa katika nafasi gani!’n


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ni wazo zuri kama wangepatikana wa kutoa kitita kikubwa zaidi na kuwa hata 10 na kutafuta kiwanja cha kujenga nyumba za bei nafuu labda na mimi ningekuwa director hapo

Mkusanyo wa miaka 2 na kuanza kazi hapo ingeleta maana

Sent from my SM using Tapatalk
 
Hili wazo mkuu linaendeleaje? Sikuuonaga huu uzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…