Vladimir Lenin
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 3,613
- 5,119
Soko lipo mkuu, hao kuku wanauzwa elfu tano, tunaweza tukauza kwa 4500 kwa kujitangaza kwanza kwa awamu ya kwanza.Wazo zuri,tafuta soko kwanza tuingie nao mkataba wa ununuzi baada ya miezi sita kuanzia sasa,ili tuwezekuwekeza kwa juhudi zote.kuliko kufuga halafu tuanze kutafuta soko.
Ukiuza kwa 4500 ina maana kwa miezi minne huyo kuku amekugarimu sh. 1125,je kuna faida hapo?Soko lipo mkuu, hao kuku wanauzwa elfu tano, tunaweza tukauza kwa 4500 kwa kujitangaza kwanza kwa awamu ya kwanza.
Una mawazo mazuri Sana ila kwa nilivyosoma uzi wako una fanana Sana na Araw,hodari wa kuanzisha miradi mwishowe anai!anaicha kweli.Hi JF members
Poleni na majukumu
Nimeona ni vema nikaanzisha hii ID mpya ili kusudi niwe natupia mambo nyeti ,muhimu na yenye tija kwetu sote najua sitawaridhisha wote kutokana na kila MTU kuwa na hulka yake ya vitu anavyovipenda na kuna wengine nitawaridhisha kwa kiasi chake na hatimae watakaokuwa tayari basi tutaungana!
By professional Mimi ni mwalimu !
Lakini ni mjasiriamali mdogo kiuchumi lakini mkubwa kifikra na mwenye ujuzi kadhaa nasema hivo kwa sababu miezi kadhaa nyuma nilikuwa ni mkufunzi wa masomo ya ujasiriamali katika vikundi mbalimbali huko mikoani na nilikuwa nikiyafundisha bure bila malipo japo nilikuwa na mradi wa kuuza vitabu vya ujasiriamali ambapo nilipata fursa kubwa ya kuuza vitabu hivyo kwa hao wanakikundi na hio ndo ilikuwa riziki yangu kwa wakati huo lakini nikaja kusimama kufanya shughuli hizo baada ya kuanzisha mradi mwingine ambao nao nilienda nao kwa kipindi Fulani na kuuacha na saivi nipo na huduma nyingine inayonipa kula kulipa pango na kutimiza mahitaji yangu
Back to the point!
Nina wazo kuu limenijia kichwani na nimelifikiria nikaona ni vema nikapata wenzangu wanne ambao wako serius na wako tayari kwa UDI na uvumba kuhakikisha kuwa kitu tutakachokianzisha hakiishii njiani yaani afe kipa ama beki ila mradi lazima usimame kwa vyovyote na kuhakikisha kuwa tutashikana mkono mpaka point ya mwisho!
Miradi niliyofikiria ni hii ifuatayo:
Mradi 1: UTENGENEZAJI WA CHAKI
Mradi 2:UTENGENEZAJI WA SABUNI YA MCHE
MRADI 3: UTENGENEZAJI WA MAFUTA YA MGANDO AMA LOTION N.K
MIRADI HII NI MIRADI AMBAYO INAWEZA KUTUFIKISHA PALE TUTAKAPOHITAJI TUFIKIE KIUCHUMI kikubwa ni kuwa serius na kazi na kizuri zaidi Nina IDEA YA ELIMU YA HIVO VITU ILA TUTAKAPO KUBALIANA BASI TUTAANZA NA MOJA NIKIWA NA MAANA YA KUTAFUTA UJUZI WA KUTOSHA,MALIGHAFI KWA GHARAMA NAFUU,SOKO NA VIBALI VYA UZALISHAJI PAMOJA NA MATANGAZO YA PRODUCT YAKO KAMA UNAJIONA UKO SERIUS NI PM AFU TUTAANZISHA GROUP LA WHATSAPP LA WATU WANNE AU WATANO TUTAKAOKUBALIANA NA KUJADILI KWA KINA ZAIDI
Narudia tena nataka watu serius tu!
Location DSM
Haya madaraja ya mitaji ulioyaainisha sijaelewa vzr! Je ni 200,000\ 500,000\ na 1,500,000\?Kwanza nikupongeze mkuu kwa kukaa chini kuweza kuandika hoja ambayo inaweza kutoa utata/fumbo kwa wengi
Kila jambo linaanza na majaribio kwanza ili kusudi baada ya kujaribu tutaweza kukaa chini kujadili matokeo tuliyopata na hapo ndipo tutaamua kuwa wapi turekebishe na wapi tuboreshe
Kuhusu mitaji
Kwa kawaida mitaji hii inategemeana na sisi tumejipangaje kwani tunauwezo wa kuzalisha locally(yaani bila kutumia mashine means tutatumia vitu vinavyotuzunguka)
Minimum mtaji nikama 200000
Mtaji wa kati ni kama 500k hadi 1500k
Mtaji mkubwa ambapo tutahitaji mashine na vifaa vingine ni kama milioni tatu+
Mlengwa ni MTU yeyote mwenye nia ya dhati sio yule ambaye anataka kujaribu afu atuache njiani tunataka tupanue wigo na hatimae tutaweka na branches mikoa yote tz ila mwanzo mgumu na ili kutatua hili inabidi tuanze kidogokidogo
Haya madaraja ya mitaji ulioyaainisha sijaelewa vzr! Je ni 200,000\ 500,000\ na 1,500,000\?
Kama nimeelewa sawa,
Mbona mi naona hao watu watano unaowahitaji ni wengi sana kuliko mtaji unaohitajika?
Kama akitokea mtu moja na akatoa robo tatu na wewe ukatoa robo iliobakia, pamoja na userious uliousema,
Utakuwa tayari kufanya nae?