Vladimir Lenin
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 3,613
- 5,119
Soko lipo mkuu, hao kuku wanauzwa elfu tano, tunaweza tukauza kwa 4500 kwa kujitangaza kwanza kwa awamu ya kwanza.Wazo zuri,tafuta soko kwanza tuingie nao mkataba wa ununuzi baada ya miezi sita kuanzia sasa,ili tuwezekuwekeza kwa juhudi zote.kuliko kufuga halafu tuanze kutafuta soko.