D Metakelfin
JF-Expert Member
- Mar 23, 2017
- 3,399
- 3,666
Wakuu nahitaji watu wawili tushirikiane kupiga kazi
Kazi nimepiga hesabu ni kuwa tukianza na mzigo wa milioni sita(6,000,000) tutaingiza almost milioni kumi kila wiki mbili (haya ni makadirio ya kiwango cha juu cha Muda,
Mzigo unapochukuliwa na unapopelekwa ni kama 170KM
Mteja nishampata wa uhakika.
CHANGAMOTO
mtaji
Usafiri(canter itafaa zaidi île iliyozibwa)
nahitaji watu hao sihitaji kukabidhiwa pesa ila tutafanya kazi pamoja kuanzia hatua ya kwanza mpaka mwisho ili kuondoa mazingira ya utapeli pia kutakuwa na mikataba ya kusaini baada ya mazungumzo ya pamoja,kwa waliopo tayari karibuni PM pia nakaribisha maswali.
Bidhaa yenyewe ni ya chakula