Nahitaji Wazalishaji wa Sabuni na Lotion waliosajiliwa TBS

Nahitaji Wazalishaji wa Sabuni na Lotion waliosajiliwa TBS

Dr. Zaganza

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
1,414
Reaction score
2,181
Habari wakuu,

Nimepata soko la supermarkets, kwa kuanzia bidhaa ziwe na TBS kama kigezo cha kwanza. Bidhaa ziwe Sabuni,Lotion, shampoo,mafuta ya nywele na steaming. Zizalishwe Tanzania.

Piga 0713 039875 Kwa maelewano zaidi
 
Back
Top Bottom