Nahitaji wazo la biashara isiyohitaji usimamizi mkubwa

Nahitaji wazo la biashara isiyohitaji usimamizi mkubwa

50m unatoa nyumba ya vyumba vitatu vya kulala tena hapa hapa DSM.

Mie nina nyumba za kupangisha nyingi mjini na ninazijenga chini ya hiyo hela.

Kuna sehemu watu mnakosea ktk ujenzi. Nyumba ya kupanga haina mbwembwe nyingi kama hizi tunazoishi wenyewe. Mfano geti la nyumba yangu ya kuishi pamoja na kipaa cha kulifunika ilinicost mil 6 lakini nyumba za kupanga geti linagharimu laki 5 tu.

Milioni 50 unaweza jenga nyumba 2 za vyumba viwili vyenye sebule na jiko na ukazipangisha

Kiwanja sijaongelea kwa kuwa bei inategemea na sehemu

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Ni kweli mkuu sikupingi,50m unajenga nyumba na inakamilika sema kuna mbwembe fulani unaziweka pembeni.
Achilia mbali kujenga zipo nyumba nyingi tu mjini zilizokamilika tena sehemu zilizochangamka zinauzwa kwa hiyo milioni 50 hadi 60
 
Ukiona nyumba inauzwa sehemu kama Goba milioni 70 pamoja na kiwanja ujue hiyo nyumba imejengwa labda kwa milioni 40 tu
 
Ukiona nyumba inauzwa sehemu kama Goba milioni 70 pamoja na kiwanja ujue hiyo nyumba imejengwa labda kwa milioni 40 tu
Inategemeana nyumba mkuu../unajua hata room na sebule vyenye ft 10x 8.nayo nyumba.ila huwezi linganisha room self zenye ft 11x12.na sebule..ujenzi wake unatofautiana kuanzia idadi ya material mpk thamani kukamilika ila zote n nyumba.
 
Anaongelea nyumba standard kama hii
1 Master bedroom room 11x12ft
2 Bedrooms 10x10ft
Public toilets
Kitchen
Dinning
Sitting room
 
Nunua mashamba yalio pembezoni mwamito au mabonde ya maji.unakodishia watu kufanya kilimo cha umwagiliaji....wewe kazi yako nikuvuta mpunga tu kila baada ya miezi kadhaa.
 
Back
Top Bottom