Nahitaji wazo la biashara isiyohitaji usimamizi mkubwa

Ni kweli mkuu sikupingi,50m unajenga nyumba na inakamilika sema kuna mbwembe fulani unaziweka pembeni.
Achilia mbali kujenga zipo nyumba nyingi tu mjini zilizokamilika tena sehemu zilizochangamka zinauzwa kwa hiyo milioni 50 hadi 60
 
Ukiona nyumba inauzwa sehemu kama Goba milioni 70 pamoja na kiwanja ujue hiyo nyumba imejengwa labda kwa milioni 40 tu
 
Inategemeana nyumba mkuu../unajua hata room na sebule vyenye ft 10x 8.nayo nyumba.ila huwezi linganisha room self zenye ft 11x12.na sebule..ujenzi wake unatofautiana kuanzia idadi ya material mpk thamani kukamilika ila zote n nyumba.
 
Anaongelea nyumba standard kama hii
1 Master bedroom room 11x12ft
2 Bedrooms 10x10ft
Public toilets
Kitchen
Dinning
Sitting room
 
Nunua mashamba yalio pembezoni mwamito au mabonde ya maji.unakodishia watu kufanya kilimo cha umwagiliaji....wewe kazi yako nikuvuta mpunga tu kila baada ya miezi kadhaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…