Nahitaji WIFI Card ya MacBook haraka

Nahitaji WIFI Card ya MacBook haraka

SAYVILLE

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2010
Posts
7,895
Reaction score
12,975
Wakuu, habari zenu?

Nina machine moja MacBook Pro 17-inch, mid-2010, nadhani imekufa WiFi Card yake.

Wapi wanaweza kunibadilishia hii kitu chap kwa haraka?
 
Jamaa watanichaji pesa ndefu wakati issue yenyewe ni kureplace tu hiyo card. Ningeweza kupata hata used WIFI card, mimi mwenyewe ningeweza kufanya.

Upanga mkuu, istore
 
Wakuu, habari zenu?

Nina machine moja MacBook Pro 17-inch, mid-2010, nadhani imekufa WiFi Card yake.

Wapi wanaweza kunibadilishia hii kitu chap kwa haraka?

Nunua WIFI adapter ya usb mchezo umeisha hapo,na yenyewe haivuki elfu 15.
 
Mkuu umetishaaa. Na utundu wangu wote wa mambo ya technology, sikujua uwepo wa uchawi huu.

Naipata wapi hii ndumba?
 
Ingia duka lolote la vifaa vya computer utazipata, ni ndogo kama flash disk. Lb- link ama D- link ni nzuri zaidi. Ukichomeka tu inafanya kazi unaconnect kawaida.
 
Nadhani hii ndiyo itakuwa suluhisho langu. Big up sana kwa tip hii.
 
Back
Top Bottom