Nahitaki pumba Dar es Salaam kwa bei poa

Nahitaki pumba Dar es Salaam kwa bei poa

Wapedwa katika bwana.

Ningependa kuuliza yoyote anaekua sehemu wanayouza pumba kwa bei nzuri ya jumla hapa dar anaweza nijuza ila iwe karibu karibu na kimara suka.

Nenda bakharesa pale Tazara unaweza kununua kwa ujazo wowote unaotaka
 
Back
Top Bottom