TANZIA Nahodha Msaidizi wa Klabu ya Yanga, Bakari Nondo Mwamnyeto afiwa na Mkewe & Mtoto

TANZIA Nahodha Msaidizi wa Klabu ya Yanga, Bakari Nondo Mwamnyeto afiwa na Mkewe & Mtoto

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Mchezaji huyo amewapoteza wapendwa wake hao usiku wa kuamkia leo

Ni huzuni kubwa
Ni majonzi

Taarifa zaidi kutolewa na Uongozi wa Yanga

Chanzo: Msemaji wa Klabu - Nugaz

--
Mnyeto.jpg
mnye.jpg
 
Nini chanzo cha vifo?
Raha ya milele uwape ee Bwana..!
 
Duh! Inna Llillah Wainailayh Raajiun
 
Mke siyo mchumba bana.

Let them rest in peace.
 
Back
Top Bottom