Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inauma na inasikitisha mno.Mwanamke akibeba mimba yako kwa hiyari kabisa huo ndiyo upendo wa mwisho kwa mwanaume ingawa wanawake wengi pia hawajui.Mchezaji huyo amewapoteza wapendwa wake hao usiku wa kuamkia leo
Ni huzuni kubwa
Ni majonzi
Taarifa zaidi kutolewa na Uongozi wa Yanga
Chanzo: Msemaji wa Klabu - Nugaz
RIP shemeji na mtoto wetu.pole Sana beki wetu mpendwa.Poleni sana kwa msiba mzito Yanga
Muhimbili kuna tatizo hususani kwa wajawazito hawapewi uangalizi mzuri, wiki iliyopita kuna mtu kachoshwa na huduma za muhimbili wodi ya wajawazito akampeleka mkewe kujifungulia hospitali binafsi.Mchezaji huyo amewapoteza wapendwa wake hao usiku wa kuamkia leo
Ni huzuni kubwa
Ni majonzi
Taarifa zaidi kutolewa na Uongozi wa Yanga
Chanzo: Msemaji wa Klabu - Nugaz