Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
inallillah wa inna ilahi rajiunna. Yarwabi umpe subra na uvumilivu mjawako huu na umvushe ktk kipindi hiki kigumu cha majonzi.Mchezaji huyo amewapoteza wapendwa wake hao usiku wa kuamkia leo
Ni huzuni kubwa
Ni majonzi
Taarifa zaidi kutolewa na Uongozi wa Yanga
Chanzo: Msemaji wa Klabu - Nugaz
Maswahibu wakati wa kuleta mtoto dunianiNini chanzo cha vifo?
Raha ya milele uwape ee Bwana..!