Kiweriweri
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 2,150
- 3,086
Tuna haki ya kudandia vitu tusivyo vijua, lakini ukweli ni kwamba siyo kila offence inayotokea ndani ya box lazima ipigwe penalty.
Mfano, kipa aliyechelewesha mchezo akipewa kadi ya njano au nyekundu penalty inatolewa pia?
Hizi zinaitwa non foul offenses.... ni vitendo kama kuchelewesha, vitendo visivyo vya kimchezo (unsporting behaviours) kupiga ngumi mchezaji au kumtia dole au kumtemea mate, etc.
Refa anashambuliwa tu na watu wanaodhani wanajua kumbe hawajui.