Kiweriweri
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 2,150
- 3,086
Sasa Sheikh camera za Azam zina kosa gani na wakati ile kadi nyekundu ni ya mchongo! Yaani kabisa mnataka kuhamishia madhaifu ya mtu mmoja kwa watu wengine! 😁Tatizo camera za Azam zimeshindwa kuonyesha Nini kilitokea na hii inasababishwa na wao kupeleka camera chache mechi za mkoani Kila mmoja atabaki kukisua Nini kilitokea.
Tungeanza kuungana kupinga fixed mechi ya yanga na Singida kwanza.Sasa Sheikh camera za Azam zina kosa gani na wakati ile kadi nyekundu ni ya mchongo! Yaani kabisa mnataka kuhamishia madhaifu ya mtu mmoja kwa watu wengine! 😁
Ile kadi nyekundu ni ya mchongo! Na tangu mwanzo wa mchezo mwamuzi alishaonesha madhaifu yake kwa kupotezea rafu za wazi walizochezewa wachezaji wa Namungo, huku akiwa mwepesi kupiga filimbi kwenye rafu hata zisizo na uhalisia ikitokea tu mchezaji wa simba ameguswa nje au ndani ya eneo la 18 la Namungo!
Kuubali kuunganakwa pamoja kama mdau wa michezo, kuwakemea hawa waamuzi wa hovyo wanaochafua taswira ya soka letu.
Kuiita mechi ya Singida na Yanga ni fixed, haileti mantiki! Kwa sababu tukio kama hilo pia liliwahi kutokea miaka michache iliyopita pale aliyekuwa Kocha wa Yanga alipowapumzisha baadhi ya wachezaji kwenye mechi dhidi ya Ihefu! Na Yanga ilipoteza kwenye ule mchezo!Tungeanza kuungana kupinga fixed mechi ya yanga na Singida kwanza.
Nimeshindwa kutoa. Maoni sababu camera hazijaonyesha Nini kimetokea.
Makolo ni makolo tu.Kuiita mechi ya Singida na Yanga ni fixed, haileti mantiki! Kwa sababu tukio kama hilo pia liliwahi kutokea miaka michache iliyopita pale aliyekuwa Kocha wa Yanga alipowapumzisha baadhi ya wachezaji kwenye mechi dhidi ya Ihefu! Na Yanga ilipoteza kwenye ule mchezo!
Mbona hamkulalamika kama ilikuwa ni fixed match? Isipokuwa ni sisi mashabiki pekee wa Yanga ndiyo baadhi tulilalalamika humu jukwaani kwa kitendo cha kocha kupumzisha baadhi ya wachezaji wake muhimu kwenye mechi ngumu kama ile!
Sasa kwa nini kwenye mechi ya SBS dhidi ya Yanga mkimbilie moja kwa moja kwenye hitimisho huku mkiwa hamna ushahidi wa moja kwa moja?
Lengo Lako/Lenu LinajulikanaMnataka Kuamisha Magoli Tumewashtukia Hizi Kelele Mngeanza Kupiga Toka Ule Upuuzi Wa Singida Na Yanga Mngekuwa Na Hoja Ila Mnachojaribu Ni Kutaka Kujaribu Kuonyesha Refa Kafanya Makosa Ili Kuifisha Hoja Ya Yanga V Singida Ni Match Fixing.Sasa Sheikh camera za Azam zina kosa gani na wakati ile kadi nyekundu ni ya mchongo! Yaani kabisa mnataka kuhamishia madhaifu ya mtu mmoja kwa watu wengine! 😁
Ile kadi nyekundu ni ya mchongo! Na tangu mwanzo wa mchezo mwamuzi alishaonesha madhaifu yake kwa kupotezea rafu za wazi walizochezewa wachezaji wa Namungo, huku akiwa mwepesi kupiga filimbi kwenye rafu hata zisizo na uhalisia ikitokea tu mchezaji wa simba ameguswa nje au ndani ya eneo la 18 la Namungo!
Kuubali kuunganakwa pamoja kama mdau wa michezo, kuwakemea hawa waamuzi wa hovyo wanaochafua taswira ya soka letu.
Timu kubwa kupumzisha wachezaji wake wanapocheza na timu ndogo ni kawaida, pia timu inaweza labda kuwa na mechi ya kimaraifa ikapumzisha wachezaji kupata majeraha au uchovu lakini mechi ya yanga na Singida sababu zote hazipo.Kuiita mechi ya Singida na Yanga ni fixed, haileti mantiki! Kwa sababu tukio kama hilo pia liliwahi kutokea miaka michache iliyopita pale aliyekuwa Kocha wa Yanga alipowapumzisha baadhi ya wachezaji kwenye mechi dhidi ya Ihefu! Na Yanga ilipoteza kwenye ule mchezo!
Mbona hamkulalamika kama ilikuwa ni fixed match? Isipokuwa ni sisi mashabiki pekee wa Yanga ndiyo baadhi tulilalalamika humu jukwaani kwa kitendo cha kocha kupumzisha baadhi ya wachezaji wake muhimu kwenye mechi ngumu kama ile!
Sasa kwa nini kwenye mechi ya SBS dhidi ya Yanga mkimbilie moja kwa moja kwenye hitimisho huku mkiwa hamna ushahidi wa moja kwa moja?
Hata kuwe na maelfu ya camera kama hàkuna rafu zitaonesha nini? Pale hakukuwa na kosa labda ziwekwe camera kwenye ubongo wa refa tuone kulikuwa na rushwa ya sh ngapi.Tatizo camera za Azam zimeshindwa kuonyesha Nini kilitokea na hii inasababishwa na wao kupeleka camera chache mechi za mkoani Kila mmoja atabaki kukisua Nini kilitokea.
Utaandika sanaa, poleee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa Sheikh camera za Azam zina kosa gani na wakati ile kadi nyekundu ni ya mchongo! Yaani kabisa mnataka kuhamishia madhaifu ya mtu mmoja kwa watu wengine! [emoji16]