Tangu kuja kwa Serikali ya Samia inaonekana kana kwamba kuna juhudi za makusudi za kuharibu uhusiano wetu na Kenya na Wakenya.
Machafuko yaliyotokea Tanzania tangu Oktoba 29 mwaka jana, yamezidisha 'chachu' ya majaribio hayo ya makusudi ya kuharibu uhusiano uliojengwa kwa juhudi kubwa. Kisa ni 'paranoia' (hofu ya kigonjwa) ya serikali yetu kuwa ni Kenya ndiyo inayochochea matukio ndani ya Tanzania, na kwamba lau si Kenya hali ya hewa Tanzania ingekuwa kama Switzerland, maana eti Watanzania 'si vigego' kama Wakenya, kwa mujibu wao!
Viongozi wa 'Junta' wa Tanzania wamejaribu sana ku 'whip up' hisia za chuki dhidi ya Kenya; kiasi raia wasio na elimu na uelewa wamekubali tu kwamba Wakenya ni adui zao. Mara nyingi utasikia 'Tanzania haihitajii Kenya'!
Tanzania, toka zamani, imeihitajia sana Kenya kwa maendelea yake.
1- Kenya ni Kituo Kikuu Afrika kwa mambo ya ICT. Kama si Kenya Tanzania isingekuwa na M-Pesa, labda ya Kichina! Wataalamu wa Kitanzania wa ICT, Ufundi wa ndege, Fedha na Mabenki, Logistics na hata elimu bora (quality education) hupata Kenya.
2-Kenya inatupa consultants, trainers, telecoms experts, construction.... ambapo ingebidi kwenda mbali kama Ulaya kupata hivyo.
3- Sekta binafsi ya Kenya ina quality ya Kimataifa na imetusaidia sana kwa mafunzo ya fintech na starter ups.
4- Hata katika masuala ya Afya, Kenya imeendea sana katika vifaa vya afya, pharmaceuticals, machine mbali mbali...kiasi Mtanzania akianzisha biashara, kiwanda cha kisasa.... hana budi akanunue viaa Kenya!
5-Kuna Watanzania wanaokadiriwa laki nane hadi milioni Kenya (maana liserikali letu livivu limeshindwa au halijali kujua idadi ya raia wake walio nje! Watakuambia ooooh, Watanzania hawapendi kujiandikisha Ubalozini! Kwa msaada gani? Zaidi utajifungulia lango la Jehanum la kupelelezwa. Tumeishi katika Police State tangu uhuru)!
Moja ya mambo serikali ya Samia imeyafanya ni pamoja na kusababisha ugumu mkubwa kwa Wakenya, na wakati mwingine manyanyaso na kusababisha hali ya hofu wanapoingia Tanzania (wakati Mtanzania aingiapo Kenya anaruhusiwa miezi mitatu na gari wiki mbili, buree! Mkenya itategemea 'mood' ya Afisa wa Uhamiaji! Mara anapewa mwezi, na wakati mmoja nimeshuhudia Mkenya akiruhusiwa wiki mbili tu, kulalamika kwake hakukumsaidia! Hii ni kabla ya machafuko. Mkenya huruhusiwa siku tano tu za bure kwa gari lake!
Kuna matatizo yalikuwepo tangu huko nyuma, lakini mama amezidisha 'kibano' maradufu.
Kwa uchunguzi wangu, matatizo na Kenya yanatokana na serikali yetu na wala si matatizo baina ya raia wa nchi mbili. Serikali yetu inahisi kabisa kwamba inapwaya katika mambo muhimu ya maendeleo kwa watu wake: elimu nzuri, miundo mbinu, ubora wa maisha, uhuru wa raia, world view ya raia wake....nk na kwa hivyo inahofia Watanzania wasije 'wakaharibiwa' na Wakenya. Kana kwamba twaishi karne ya 19!
Ukitaka kujua mchezo huu, ni Tanzania tu ndiyo inayowahadharisha raia wake na Kenya. Kenya hata haina habari na sisi! Mwaka huu Tanzania imekosa watalii 50,000 wa Kikenya wanaokuja kila mwaka kula Krismasi!
Mwisho natoa wito kwa Watanzania, tusisikize propaganda za viongozi wetu waliofeli, wanaotaka kuziba aibu zao kwa kuhubiri chuki za kipuuzi.
Mtanzania Kenya, kama una elimu, unapata kazi competitively, bila ya vipingamizi, vibali, unyanyapaa, stereotype....nk, na unaishi maisha hakuna yoyote atakayekugongea mlango kukuuliza! Mkenya hapati hayo Tanzania. Saa nyingine najiuliza kwa nini Kenya hailipizi ? Ni kweli wao pia wanaihitajia Tanzania, lakini zaidi kwa kuuza biashara zao, sababu wakati wowote wanaweza kununua mahindi na mbao kutoka popote Afrika, ingawa si kwa bei rahisi kama Tanzania.
Katika nchi za Afrika, Kenya ndiyo nchi iliyo karibu nasi zaidi, kwa lugha, kiutamaduni, kihistoria na hata staili ya maisha. Wasitugombanishe eti kwa vile Kenya imempa hifadhi Maria Sarungi! Hiyo ni ngoma yao waicheze wenyewe na wapambane na hali yao...., siye hatumo!