Nahreel,, kama huwezi sema bhana..Unashindwa kuwasimamia wasanii wako

Huwez kua promoter and producer at same time,..
.naheel ajitafakari
The industry ni label sio nahreel, hapo sijajua unamzungumzia nahreel au unaizungumzia the industry, kama rosa lee na wildad wapo chini ya nahreel uko sawa. Ila kama wapo chini ya the industry basi hoja yako imekosa mashiko.
 
rosa lee na wildad wapo chini ya lebel ya The industry...
ambapo ndani yake bwana nahreel ndo controller wa kila kitu.....yani manager. nadhan ndo alicho maanisha
 
Sasa bwana Wildad wimbo wako mpya unaitwaje ili tupate kuununua kule Wasafi.com?!
 
Back
Top Bottom