Nahtaj mchumba

Nahtaj mchumba

Kabaizer

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2011
Posts
504
Reaction score
64
Ninahtaj mchumba kuanzia miaka 18 na kuendelea,sifa mapenz ya kweli!
 
Hiyo nickname yako tukitoa "ba" tunapata Kaizer , sasa subiri akuje AshaDii halaf azanie Kaizer ndio anatafta mchumba hehehe

Bek to topik: kila la heri mkuu
 
Last edited by a moderator:
Wewe huna sifa zako/zake(unaemuhitaji)

nahtaj asiwe mref awe wa saiz ya katkat,na kaelimu kake kawe 4m 4 tu, mimi mwenyewe elimu yangu 4(iv) na sasa nafanya kaz so kama upo jitokeze! U NEED MORE INFO?
 
Back
Top Bottom