mim ni mwanaume nahtaj mke wa kuoa! na npo sirias sana ni mara ya kwanza love connet elimu dploma na kuendelea awe mtanzania umr 22-28 urefu wastan choclate color awe anasifa awe mwajirwa mana mim n mwajrwa wizara moja hapa nchn.
awe mwajiriwa maana mimi ni mwajiriwa wizara moja hapa mjini!!!!!!!!!!!! Mwajiriwa anaenda na mwajiriwa mwenzie, magoal keeper tutaisoma hiyo. Kila la kheri ndugu.