Nahtaj mke wa kuoa

Nahtaj mke wa kuoa

MAPOUDA

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2013
Posts
446
Reaction score
296
mim ni mwanaume nahtaj mke wa kuoa! na npo sirias sana ni mara ya kwanza love connet elimu dploma na kuendelea awe mtanzania umr 22-28 urefu wastan choclate color awe anasifa awe mwajirwa mana mim n mwajrwa wizara moja hapa nchn.
 
awe mwajiriwa maana mimi ni mwajiriwa wizara moja hapa mjini!!!!!!!!!!!! Mwajiriwa anaenda na mwajiriwa mwenzie, magoal keeper tutaisoma hiyo. Kila la kheri ndugu.
 
ili kuendeleza maisha c unajua nyumba bila mwanamke haikaliki
 
Back
Top Bottom