Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nahtj kiwanja maeneo ya salasala kinzudi usukumani..bei kama ilvyotajwa hapo juu..nipo serius ml 2.na vinaptkana bila chenga rafk yangu alinunua juz kati..loc.ninayohtj kinzudi..maeneo ya usukumani..au majengo..nipm kama unacho