Nahume za kushonea nguo Kwanza.

Nahume za kushonea nguo Kwanza.

cool d

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2015
Posts
1,743
Reaction score
1,751
Wasalamu! Naomba kufahamishwa sehemu gani Mwanza mjini naweza kupata machine za kushonea nguo na bei zake, e.g Cherehani na overlock machine. Mbarikiwe kwa muda wenu mtakao nisaidia.
 
hebu hakiki kichwa cha habari cha uzi wako
 
Namaanisha machine za kushonea Mwanza ntapata wapi?
 
Back
Top Bottom