mwasipenjele
JF-Expert Member
- Jun 2, 2012
- 771
- 450
Kumbe hutak nipaBila chenga
Kabisa mkuuVizur maana kuambiwa sio picha kamili nenda ukujionee mwenyewe
Wamakonde wakarim sanaKabisa mkuu
Akikwambia shuka chini jiongeze.. usimpe ubabe na minguvu ya kisukuma uanze kushusha godoro chini..Habari za usiku JF;
Baada ya chats za muda mrefu, hatimaye naenda kuonana na huyu binti ambaye kwa kweli kwa namna ninavyochati naye naanza kuamini YALIYOMO YAMO.
Nitawaletea updates za safari nzima kutoka Mwanza Mpaka Mtwara. Kesho Naanza safari.
Wakongwe wa kusafiria papuchi nipeni uzoefu wa game za mbali kama hizi, na pia kwa wazoefu wa hawa mabinti wa kimakonde nipeni hits mbili tatu ili nisije kuonekana mshamba, mana nasikia kwa viuno ni balaah!!
Karibuni!!!!
If is you and you are here, just come inbox
Embu Legeza kamba na sisi wa nyuma tupate kuonja..[emoji23][emoji23]huko situmiag..weka mambo live
Kwani ladha imebadilika?Embu Legeza kamba na sisi wa nyuma tupate kuonja..
Umenibania banaKwani ladha imebadilika?
Nipo mji kasoro bahari mkuu! Unapita hapa lini?Sema upo wapi nkupitie mkuu,
Mkuu nakupita hapa Moro, maombi yako muhimu ili niweze kufika salamaNipo mji kasoro bahari mkuu! Unapita hapa lini?
Mkuu nakupita hapa Moro, maombi yako muhimu ili niweze kufika salama
Umeniwah mkuuMkuu...,
Kwani nayeye ni member humu jf?
Mambo mubashara mkuuLive gan unataka
Miaka ganiUmenikumbusha mbalii enzi hizo nasoma mtwara girl's c mchezo
sana ndio maana kuna wanaohama nyumba kubwa kabisaKwani ladha imebadilika?