Naianza Safari Ya Kuonana Na Binti Wa Kimakonde Mtwara, WanaJF wa Mtwara Mnipokee!!

Naianza Safari Ya Kuonana Na Binti Wa Kimakonde Mtwara, WanaJF wa Mtwara Mnipokee!!

Habari za usiku JF;

Baada ya chats za muda mrefu, hatimaye naenda kuonana na huyu binti ambaye kwa kweli kwa namna ninavyochati naye naanza kuamini YALIYOMO YAMO.

Nitawaletea updates za safari nzima kutoka Mwanza Mpaka Mtwara. Kesho Naanza safari.

Wakongwe wa kusafiria papuchi nipeni uzoefu wa game za mbali kama hizi, na pia kwa wazoefu wa hawa mabinti wa kimakonde nipeni hits mbili tatu ili nisije kuonekana mshamba, mana nasikia kwa viuno ni balaah!!

Karibuni!!!!
Akikwambia shuka chini jiongeze.. usimpe ubabe na minguvu ya kisukuma uanze kushusha godoro chini..
 
Huko huendi kutuwakilisha wana jf unakwenda kuwawakilisha wasukuma wenzio kwa hyo ukipuyanga utakua umewadisapoint wasukuma wote.
 
Mkuu nakupita hapa Moro, maombi yako muhimu ili niweze kufika salama

Kila la heri mkuu. Lakini angalia usije ukasahau kwenu maana wamakonde wanatabia hiyo hasa akijua kwenu ni mbali na mtwara.
 
Papuchi tamuuuuuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom