Naianza Safari Ya Kuonana Na Binti Wa Kimakonde Mtwara, WanaJF wa Mtwara Mnipokee!!

Naianza Safari Ya Kuonana Na Binti Wa Kimakonde Mtwara, WanaJF wa Mtwara Mnipokee!!

Mleta mada hujafafanua,ukisema Mtwara una maana gani?
Mtwara-Mikindani
Mtwara
Masasi
Newala
Mangaka/Nanyumbu
Tandahimba
Nanyamba

Hayo maeneo ukisema unaenda Mtwara basi by default ni maeneo hayo.
Lakini ungekua specific ni Mtwara ipi unaitembelea kufuata huyo mamsapu
 
Manispaa mkuu
 
Shukia mnada wa mbuzi utanikuta sharp corner hapa napata mambo Yangu.
 
Unapowaza na kichwa cha chini unaweza fanya maajabu, haya nenda mkakulane maana hamna namna ingine
 
Kaazi kweli kweli. Yaani hata hujafika tayari unataka upewe uzoefu. Usisahau safari ni hatua.
 
Mkuu wakati wa parking usisahau vitu vya muhimu kama pesa ya kutosha ila ukifika kule usitumie pesa kwa pupa uwezekano wa kurudi ni haupo..pendelea kula matunda esp maembe dodo na korosho..

Pili, tafuta mtu wa karibu au ndugu ambaye utampa ramani unapoelekea.. na ummpe time limits kwamba asiposikia chochote kutoka kwako afanyejitahada za kukuokoa..experience zinaonesha wengi waliosafiria hawakurudi nilikuwa miongoni mwao...hio jamii inauwezo wa kudelete folder la utokeapo... kisha wakaweka lao..

Safar njema.
 
Ni watu wapi wanaolia kua Magu kabana....ni hawa hawa wanaospend their dough kusafiria papuchi aunauliza tu....

Sema i thank God nimeumbwa na papuchi...its power is way beyond u could possibly imagine..

Wasalimie Ntwara nkuu[emoji28]
 
Kuhusu ugumu wa anko magu, ni kweli pesa ngumu, but kuspend ni hobby tu ya mtu...myself I cant stop spend what i have kisa anko magu kabana itakuwa sitendei haki hobi yangu.

Nakiri ni kweli papuchi zina nguvu sana, mpaka nami nafkria kuwekeza katika watoto wakike
 
Ni watu wapi wanaolia kua Magu kabana....ni hawa hawa wanaospend their dough kusafiria papuchi aunauliza tu....

Sema i thank God nimeumbwa na papuchi...its power is way beyond u could possibly imagine..

Wasalimie Ntwara nkuu[emoji28]
Papuch nyie iacheni tu, nilishawahi kwenda mbali sana siku mbili nasafiri kwenye treni tena nchi za watu.
Dah!!🙂
 
Back
Top Bottom