- Thread starter
- #61
Hawajui kuvitumia, vipi unajua kukitumia cha kwako ili nighairishe safari au nikushtue nikirudi mtwara!?Unapokaa hakuna viuno?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawajui kuvitumia, vipi unajua kukitumia cha kwako ili nighairishe safari au nikushtue nikirudi mtwara!?Unapokaa hakuna viuno?
Hakika she is polite in talkingUnaoneka u mpole sana na unae jali maana umeandika kwa kujali na hekima nyingi[emoji3]
Unataka?Unataka uumpe
Changu najua kukitumia kwa mtu mmoja tuHawajui kuvitumia, vipi unajua kukitumia cha kwako ili nighairishe safari au nikushtue nikirudi mtwara!?
Yaaaa natakaUnataka?
Gf hakupagi?Yaaaa nataka
Sinaga mm nataka kwakoGf hakupagi?
Kha! Sasa mi ntajuaje kama unajua kukitumia? Kama vipi tufanye One Time Game(OTG)Changu najua kukitumia kwa mtu mmoja tu
Nakushaur ufatane na mtoa mada hadi Ntwara, haja yako itatimizwa.Sinaga mm nataka kwako
Sishei dudu na wamakonde sasa...Kha! Sasa mi ntajuaje kama unajua kukitumia? Kama vipi tufanye One Time Game(OTG)
Si wewe upo mtwara tenaNakushaur ufatane na mtoa mada hadi Ntwara, haja yako itatimizwa.
Sipo huko mimi...unataka nije?Si wewe upo mtwara tena
Mm cpo mtwara pia unafwatwa hukohuko ulikoSipo huko mimi...unataka nije?
Unajua nilipo?Mm cpo mtwara pia unafwatwa hukohuko uliko
NiambieUnajua nilipo?
Nipo ulipoNiambie
Vipi nighairishe safari? Nipm upo wapi ili tuyapange vizuriSishei dudu na wamakonde sasa...
Kamalizane tu na mmakonde wako...ulete mrejeshoVipi nighairishe safari? Nipm upo wapi ili tuyapange vizuri
Basi sawa kama nilipo upo basi umeshare dudu na wamakondeNipo ulipo
Siku hizi umeacha kwani?Umenikumbusha mbalii enzi hizo nasoma mtwara girl's c mchezo