ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Naibu wa Gavana wa Benki Kuu ya Umoja wa Ulaya Luis de Guindos amesema kuwa, rais wa Marekani, Donald Trump amesababisha kukosekana utulivu katika ghughuli za kiuchumi na rais huyo ni janga baya zaidi kuliko hata janga la Corona la miaka mitano iliyopita.
Shirika la Habari la IRNA limemnukuu Luis akisema hayo katika mahojiano na gazeti la Uingereza la Sunday Times na kuongeza kwamba, siasa mbaya za ushuru za Trump, mipango yake ya kufuta mfumo wa kifedha na kutia mkono mfumo wa kodi ya makampuni na mashirika mbalimbali, imeleta mabadiliko ya haraka katika masoko na kutatanisha utabiri wa kupambana na mfumuko wa bei na riba.
Ameongeza: "Lazima tuseme kwamba, kukosekana utulivu katika sasa ni janga kubwa zaidi kuliko la Corona. Utawala mpya wa Marekani haujali ushirikiano wa pande nyingi, ushirikiano kati ya nchi na wala kutafuta ufumbuzi wa pamoja wa matatizo ya wote. Haya ni mabadiliko makubwa sana na ni chanzo cha ukosefu mkubwa mno wa utulivu."
Naibu wa Gavana wa Benki Kuu ya Ulaya pia ameviita vita vya biashara kuwa havina mshindi bali kila mtu anapoteza na ameilaumu Marekani kwa kuanzisha vita hivyo na kusababisha pande nyingine nazo zichukue hatua za kulipiza kisasi.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Marco Rubio juzi alisema kwamba baada ya Marekani kuziongezea ushuru bidhaa za washirika wake wakuu wa kibiashara sasa inaweza kuingia katika mazungumzo na pande hizo kuhusu uhusiano mpya wa kibiashara baina yao
=============================================================
United States President Donald Trump’s policies are causing more uncertainty for the economy than there was during COVID-19, European Central Bank Vice President Luis de Guindos told the Sunday Times.
“We need to consider the uncertainty of the current environment, which is even higher than it was during the pandemic,” he was cited as saying. “What we’re seeing is that the new U.S. administration isn’t very open to continuing with multilateralism, which is about co-operation across jurisdictions and finding common solutions for common problems. This is a very important change, and a big source of uncertainty.”
Several ECB policymakers have highlighted their worry about the impact of a brewing trade war in recent days with President Christine Lagarde saying an escalation of disputes over trade levies may have a detrimental effect on the world economy.
Similarly, Jose Luis Escriva told Bloomberg TV on Friday that assumptions for inflation and economic growth face big risks in each direction and that such unpredictability makes it impossible to predict further interest-rate moves.
In the euro area, growth is expected to expand just 0.9 per cent this year, according to ECB forecasts published this month.
Source: Financial Post