Naibu Jaji Mkuu, Philomena Mwilu akamatwa kwa tuhuma za rushwa

Naibu Jaji Mkuu, Philomena Mwilu akamatwa kwa tuhuma za rushwa

ukiwa mwanasiasa kuna kipindi lazima ukubali kuchanganyikiwa/kuwa kichaa au zuzu ili mambo yaende.
huwezi kuwa na misimamo binafsi kwenye misimamo ya kichama ukabaki kuwa mwanachama.
lazima huwe tayari kwa collective thinking na uwe tayari kuisaliti dhamiri yako kuunga juhudi za wengi bila kujali ni halali au haramu.
 
CHADEMA??? Yaan kwa akili yako unasikia CHADEMA wanasema nini? Chadema hawajuagi wanasimamia nini ilo ulitambue,
1. LOWASSA FIDSADI- LOWASSA SAFI
2. Kikwete dhaifu - Magufuli dikteta
3. Wezi wa mali za Umma hawakamatwi- Rais anaonea kukamata watu eti wezi wa mali za Umma
4. Rais anazurura nje sana- Magufuli mbona hutoki nje
5.Tanzania haina ndege ni aibu- kwanini Magufuli ananunua ndege so kipaumbele cha sasa,
6.Dr slaa ni mkombozi wetu- Slaa ni msaliti
7.Nape ni vuvuzela- Nape ni shujaa
8.Magufuli ni jembe(Mbowe n.a. halima)- Magufuli ameshindwa,

Yaan ni mengi sana
 
Mimi hadi naona aibu kutype kabisa.................. tena amshitaki haswa................ na Kenyatta anashangaa haswa huu uchaguzi wa kila siku Tanzania....... aliingizia Taifa hasara ya kurudia uchaguzi akamatwe na ashitakiwe kwa uhujumu uchumi........ kama jiwe atakavyokamatwa no matter what........... hata ishindikana wajukuu watalichapa kaburi lake viboko
 
Huyo jaji ni fisadi mno, safi sana kenyatta
 
CHADEMA??? Yaan kwa akili yako unasikia CHADEMA wanasema nini? Chadema hawajuagi wanasimamia nini ilo ulitambue,
1. LOWASSA FIDSADI- LOWASSA SAFI
2. Kikwete dhaifu - Magufuli dikteta
3. Wezi wa mali za Umma hawakamatwi- Rais anaonea kukamata watu eti wezi wa mali za Umma
4. Rais anazurura nje sana- Magufuli mbona hutoki nje
5.Tanzania haina ndege ni aibu- kwanini Magufuli ananunua ndege so kipaumbele cha sasa,
6.Dr slaa ni mkombozi wetu- Slaa ni msaliti
7.Nape ni vuvuzela- Nape ni shujaa
8.Magufuli ni jembe(Mbowe n.a. halima)- Magufuli ameshindwa,


Yaan ni mengi sana
I see ! Acha tu ! Du !
 
Hoja ni rushwa. Na uwanja wa kesi ni mahakamani. Mambo za Uhuru, Chadema zinatoka wapi. Watanzania bhana na huu Uccm na Uchadema hatutasogea kimaendleo. Kila kitu sisi ni politiki.
 
View attachment 857460

Naibu Jaji Mkuu nchini Kenya, Philomena Mwilu ametiwa nguvuni wiki iliyopita nchini Kenya na kukabiliwa na mashitaka 13, yakiwemo: usimamizi mbaya wa mamlaka; kukosa kulipa kodi na kujipatia Ksh. milioni 12 kwa njia ya udanganyifu kutoka Benki ya Imperial iliyoanguka kufuatia misukomisuko ya usimamizi mbaya. Kiongozi wa Mashitaka ya Umma, Noordin Haji, alisema kuwa, Mwilu anafaa kuhukumiwa na kufungwa kwa uhalifu.
Mawakili wapatao 32 walikuwa wamejitayarisha vilivyo kumwakilisha wakiongozwa na Seneta wa Siaya, James Orengo na Kiongozi wa Chama cha Wiper, Kalonzo Musyoka.
Hata hivyo, Mwilu anamtuhumu Kenyatta kwa kutaka kumuondoa katika Idara ya Mahakama. Anasema kumekuwa na majaribio mbalimbali ya kumlazimisha aache kazi yake kufuatia uamuzi wa matokeo ya Uchaguzi ya urais ambayo yalifutiliwa mbali na kulazimu Uchaguzi mwingine Oktoba 26, 2017. Hata hivyo, Rais Kenyatta amemjibu Mwilu na kumwambia abebe msalaba wake na aache kumhusisha na shida zake.
Mchambuzi wa masuala ya Siasa nchini humo, Mutahi Ngunyi, amemuonya Jaji Mkuu David Maraga akae chonjo baada ya masahibu kumkumba Naibu wake.

Aidha, wachambuzi wa Siasa wanadai mashitaka hayo ni mbinu ya Jubilee kumuondoa Mwilu ili asimrithi Jaji Maraga atakapostaafu mwaka 2022, ambao ni mwaka wa uchaguzi. Inadaiwa Jubilee wanataka Jaji Njoki Ndunguru ndiye arithi nafasi hiyo kwa kuwa, alikuwa mmoja wa majaji watatu waliopinga uamuzi wa kutupilia mbali matokeo ya urais mwaka jana. Philemona Mwilu ndiye alibebeshwa jukumu la kusoma uamuzi wa Mahakama wa kutengua matokeo ya Uchaguzi wa awali uliompa Uhuru ushindi.

Baada ya Mahakama kutengua matokeo ya awali, Uhuru alighadhabika na kutoa onyo kali kwamba, majaji waliomwaibisha wangeona kilichomtoa kanga manyoya. Aliwaita majaji hao wanne wakora na kuapa kuwafunza adabu.
Vilevile, Septemba 2, 2017, Uhuru alihoji "Nani aliwachagua? Mlichaguliwa? Tuna shida na kwa hakika turaitatua."

View attachment 857458

CHADEMA yatangaza kumuunga mkono Rais Kenyatta katika uchaguzi ujao wa Kenya

MBOWE,LOWASSA WAMPONGEZA KENYATTA KUCHAGULIWA TENA KUONGOZA KENYA - MALUNDE 1 BLOG

View attachment 857461
Baba wa Demokrasia Afrika Mashariki!!!


View attachment 857462
CHADEMA chini ya Lowassa wakimnadi Uhuru Kenyatta umasaini.
kwahiyo ndugu makonda, ulitaka kwa kuwa tu kenyata alipongezwa na chadema basi asimkamate mtu anayetuhumiwa kwa rushwa. Unadhani kenyata yuko kama kichaa anayekubeba kwa kila kosa unalotenda
 
Back
Top Bottom